Tunakuletea Mwimbaji mpya wa nyimbo za injili SHUKRANI MWANTYALA Mzaliwa wa Mbeya,
sasa anakuja kivingine Baada ya Kuachilia album yake yenye nyimbo Nane(8) za Audio,Sasa tupo kwenye Maandalizi Makubwa ya kuandaa Album ya VIDEO......
SAA YAKO IMEFIKA